Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) - Oganaizesheni, Issa Haji Usi Gavu, Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Katibu wa NEC - Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Rabia Hamid Abdallah, akipokelewa eneo la Nyakanazi, Biharamulo, mkoani Kagera, tayari kuanza ziara ya siku 6 mkoani humo, akiwa ametokea Mkoa wa Kigoma, ambako amehitimisha ziara ya siku 3 kwa kuzungumza na wananchi katika maeneo ya Kibondo na Kakonko, leo Jumanne, Agosti 6, 2024.
0 Comments