Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Responsive Advertisement

PINDA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC

Mkuu wa Missoni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Africa (SADC-SEOM) Mheshimiwa Mizengo Pinda, amekutana na kuzungumza na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mhe. Elias Magosi jijini Gaborone , Botswan.

Post a Comment

0 Comments