Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiongoza Kikao cha Kamati ya Maendeleo ya Jamii ya Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ukumbi wa Kambarage Treasury Square Jijini Dodoma tarehe 04 Novemba 2024.
Wakizungumza katika kongamano la kitaifa la afya ya uzazi kwa vijana, Dr. Felix Bundal…
Read more
0 Comments