**********************
Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndugu John V. K Mongella anatarajia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mkoa wa Mbeya tarehe 20 Novemba 2024 uzinduzi utakaofanyika katika Uwanja wa Kabwe.
Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki limekutana na kufanya Mk…
Read more
0 Comments