Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali,
Mheshimiwa Ali Abdulgulam Hussein, akiwa na Dr. Catherine Sanga, Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (wa kwan`za kushoto
walioketi) Mkaguzi Mkuu wa Elimu Zanzibar, Bi. Maimuna Fadhil Abbas (kulia
kwake) na Mkurugenzi wa TeachUNITED Afrika, Bi. Angela Kithao (kulia) wakipata
picha ya Pamoja na sehemu ya walimu waliohitimu mafunzo ya miezi minne ya ujuzi
na maarifa ya kuingiza teknolojia ya kisasa katika ufundishaji wao, pamoja na
kuboresha mbinu za ufundishaji na ujifunzaji katika katika Ukumbi wa Mikutano
wa Shule ya Sekondari Tumekuja, Unguja, jana Alhamisi Novemba 21, 2024
0 Comments