
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Azza Hillal Hamad leo Juni 30,2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge Jimbo Jipya la Itwangi, ambalo limekatwa kutoka Jimbo la Solwa mkoani Shinyanga.
-Muitiko wa wananchi kutumia nishati safi ya kupikia waongezeka maradufu
Read more
0 Comments