Waziri wa Ujenzi, Mhe. Masanja Kadogosa, amesaini kitabu cha maombolezo na kutoa pole kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camilius Wambura, kufuatia kifo cha baba yake mzazi, Deusdedit Wambura.
Waziri Kadogosa ametoa pole hizo leo, Oktoba 31, 2026, katika Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, ambako mazishi ya marehemu yanatarajiwa kufanyika.



0 Comments