Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI SOKO LA JIDA, AMSIMAMISHA MKURUGENZI NANYUMBU - PICHA

 

Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akiwasili kati ya JIda kuweka jiwe la msingi Soko la wafanyabiashara ndogondogo la Jida lililopo Wilaya ya Masasi. Soko hilo linagharimu Silingi milioni 619.9.



Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akipokea maelezo kutoka kwa Leonard Mkondola ambaye ni Fundi mchundo wa soko la kisasa la Jida mara baada ya kuwasili kuweka jiwe la msingi sokoni hapo.


Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akizungumza na wananchi waliojitokeza kumsikiliza wakati alipofika kuweka jiwe la msingi katika soko la kisasa la Jida lililopo Wilaya ya Masasi.


Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na aliyekuwa Mkurugenzi wa Wilaya ya Nanyumbu Hamis Dambaya mara baada ya kukagua majengo ya stendi ya mabasi ya Mangaka. Makamu wa Rais aliagiza kusimamishwa kwa Mkurugenzi huyo ili kupisha uchunguzi kufuatia matumizi mabaya ya fedha za mradi huo.

 

PICHA – OFISI YA MAKAMU WA RAIS







Post a Comment

0 Comments