Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akizungumza na Balozi Mdogo wa Msumbiji anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Agostino Abacar Trinta alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha .[Picha na Ikulu.] 04 Aug 2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Mdogo wa Msumbiji anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Agostino Abacar Trinta alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha .[Picha na Ikulu.] 04 Aug 2021.

0 Comments