Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MHE.SAMIA AHUDHURIA KUAPISHWA RAIS MPYA WA ZAMBIA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kumpongeza Rais Mpya wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa 7 wa Zambia katika Uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021.

Post a Comment

0 Comments