Ticker

6/recent/ticker-posts

VODACOM TANZANIA PLC YAUNGANA NA KAMPUNI YA SAMSUNG KUZINDUA SIMU MPYA SAMSUNG A22Ili kuongeza wigo wa matumizi ya simujanja, kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC imeungana na kampuni ya Samsung kuzindua simu mpya aina ya Samsung A22, pichani Mkuu wa Mauzo na Usambazaji waVodacom Tanzania PLC George Lugata (Kulia) na Meneja wa Samsung Tanzania Suleiman Mohamed wakionesha simu hiyo wakati wa uzinduzi. Simu hii inakuja na ofa maalum ya dakika za bure, MB na SMS, na inapataikana katika maduka yote ya Vodacom nchini, lakini pia katika maduka ya Samsung.


Post a Comment

0 Comments