Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Dkt. Oscar Kikoyo akiongoza kikao cha kamati hiyo kilichopokea, kuchambua na kujadili taarifa ya msajili wa hazina kuhusu uwekezaji katika mamlaka ya udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) kilichofanyika katika Ofisi za Bunge leo Agosti 16, 2021 Jijini Dodoma. Kulia ni Katibu Kamati wa kamati hiyo, Bi. Amina Salumu
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), wakiwa katika kikao cha kamati hiyo kilichopokea, kuchambua na kujadili taarifa ya msajili wa hazina kuhusu uwekezaji katika mamlaka ya udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) kilichofanyika katika Ofisi za Bunge leo Agosti 16, 2021 Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
0 Comments