
Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, akimkaribisha Balozi Mdogo wa Oman aliepo Zanzibar Said Salim Al-sinawiy, alipofika Ofisi ya Mufti Mazizini Mjini Unguja kujitambulisha . 

Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akimkaguza baadhi ya vitengo vilivyomo ndani ya Ofisi ya Mufti wakati alipofika kujitambulisha. [caption id="attachment_146001" align="alignnone" width="1024"]
[/caption]
[/caption]Balozi mdogo wa Oman aliepo Zanzibar Said Salim Al-sinawiy, akitoa neno kwa Mufti wa Zanzibar alipofika Ofisini kwake kwaajili ya kujitambulisha. 

Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, akizungumza na Balozi Mdogo wa Oman aliepo Zanzibar Said Salim Al-sinawiy alipofika Ofisini kwake Mazizini Mjini Unguja kujitambulisha. 

Balozi mdogo wa Oman aliepo Zanzibar Said Salim Al-sinawiy akiagana na watendaji wa Ofisi ya Mufti mara baada ya kufika Ofisini hapo na Kujitambulisha
PICHA NA FAUZIA MUSSA –MAELEZO ZANZIBAR.
0 Comments