Ticker

6/recent/ticker-posts

NAIBU SPIKA WA BUNGE DKT.TULIA ATEMBELEA KAMPUNI YA VODACOM TANZANIA, 

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Hisham Hendi akiwa kwenye mazungumzo na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson wakati alipotembelea kampuni hiyo ya teknolojia na mawasiliano jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.


Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Hisham Hendi akiwa na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania Dkt Tulia Ackson wakati alipotembelea kampuni hiyo ya mawasiliano jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia.


Mkurugenzi wa Mawasiliano Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia akiwa akiwa kwenye mazungumzo na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania Dkt Tulia Ackson wakati alipotembelea kampuni hiyo ya mawasiliano jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.


Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Hisham Hendi akizungumza na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson wakati alipotembelea kampuni hiyo ya teknolojia na mawasiliano jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc wakiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania Dkt Tulia Ackson wakati alipotembelea kampuni hiyo ya mawasiliano jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.



Post a Comment

0 Comments