Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MHE.DKT.MWINYI AZUNGUMZA NA WATENDAJI KATIKA MKUTANO WAKE WA MAJUMUISHO YA ZIARA YAKE YA MIKOA MIWILI YA PEMBA KUSINI NA KASKAZINI.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Watendaji wa Serikali wa Mikoa miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika Mikoa hiyo, mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu)MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Mattar Zahor Masoud akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika Mikoa Miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu)


BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Hussein Ali Mwinyi,(hayupo pichani) akihutubia katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika Mikoa ya Kaskazini na Kusini Pemba, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments