Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AZINDUA MRADI WA MAJI SAFI LONGIDA MKOANI ARUSHA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Londigo mara baada ya kuzindua mradi huo wa Maji Safi Longido mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akigusa maji mara baada ya kuzindua mradi wa Maji Safi wa Longido leo tarehe 18 Oktoba, 2021 katika sherehe zilizofanyika katika eneo la Stendi mpya Longido mkoani Arusha.

Kikundi cha Ngoma za asili cha Kabila la Wamasai wakitumbuiza katika sherehe za uzinduzi wa mradi wa maji Longido mkoani Arusha. PICHA NA IKULU


Post a Comment

0 Comments