Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AZINDUA VITUO JUMUISHI VYA UTOAJI HAKI JIJINI DODOMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia wakati wa uzinduzi wa Jengo la Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki katika eneo la National Capital City, Jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa Kitambaa kuzindua rasmi Jengo la Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki katika eneo la National Capital City, Jijini Dodoma leo tarehe 06 Oktoba 2021. Wa pili kulia ni Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma, Jaji Mkuu wa Zanzibar Othman Makungu, wa pili kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Prof. Palamagamba Kabudi na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata Utepe kuzindua rasmi Jengo la Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki katika eneo la National Capital City Jijini Dodoma leo tarehe 06 Oktoba 2021. Wa pili kulia ni Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Juma, Spika wa Bunge Job Ndugai, Jaji Mkuu wa Zanzibar Othman Makungu wa pili kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Palamagamba Kabudi, Mkuu wa Mkoa Dodoma Antoni Mtaka. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu sehemu ya uendeshaji Haki mara baada ya kuzindua rasmi Jengo la Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki katika eneo la National Capital City Jijini Dodoma leo tarehe 06 Oktoba, 2021. Wa pili kulia ni Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma, Jaji Mkuu wa Zanzibar Othman Makungu, wa pili kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Prof. Palamagamba Kabudi na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai. 


Baadhi ya viongozi pamoja na wageni waalikwa wakifatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa Jengo la Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki katika eneo la National Capital City, Jijini Dodoma leo tarehe 06 Oktoba 2021. 

PICHA NA IKULU.

Post a Comment

0 Comments