

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na watanzania waishio nchini Singapore, mazungumzo yaliolenga kusikiliza changamoto zinazowakabili pamoja na kusikiliza ushauri na maoni yao kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Novemba 16,2021.

Balozi wa Heshima wa Tanzania nchini Singapore Mhe.Teo Sieng Seng akimkabidhi zawadi ya kitabu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kumalizkika kwa mazungumzo yao yaliofanyika katika Hoteli ya Raffles Nchini Singapore . Novemba 16,2021.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Balozi wa Heshima wa Tanzania nchini Singapore Mhe.Teo Sieng Seng mazungumzo yaliofanyika katika Hoteli ya Raffles Nchini Singapore . Novemba 16,2021.
0 Comments