**************
Michael Carrick amekamilisha utumishi wake Wa zaidi ya miaka 16 katika klabu ya Manchester United na sasa ameamua kuondoka katika klabu hiyo Dakika chache baada ya Manchester United kuibuka na ushindi Wa bao 3-2 dhidi ya Arsenal
Carrick ndiye aliyeachiwa timu baada ya Ole Kuondoka na ameiongoza United katika michezo mitatu akishinda michezo miwili na kutoka sare mmoja
United sasa itakua chini ya kocha mpya Wa muda Ralf Rangnick ambaye ataanza kazi rasmi dhidi ya Crystal Palace Jumapili.
0 Comments