Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS ALHAJ DKT.HUSSEIN ALI MWINYI AJUMUIKA NA WAUMINI WA KIISLAM KATIKA SALA YA IJUMAA MSIKITI WA MIEMBENI .


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Alhaj. Alhad Mussa Salum, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja leo 31-12-2021 na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Alhaj. Alhad Mussa Salum, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja leo 31-12-2021 na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, Naibu Mufti Mkuu Sheikh Mahmoud Mussa Wadi na (kushoto kwa Rais) Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe.Mahmoud Mohammed Mussa, wakiitikia dua.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, Naibu Mufti Mkuu Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhaj Alhad Mussa Salum, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja leo 31-12-202.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments