Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AMTEMBELEA MZEE HASSAN OMAR MZEE


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia na kumjulia hali Mzee Hassan Omar Mzee alipofika Kituo cha Afya Kibweni Wilaya ya Magharibi"A" Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 24/12/2021.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Mkuu wa Kikosi cha Kuzuia Magendo KMKM Komodoo Azana Hassan Msingiri (katikati) mara baada ya kumjulia hali Mzee Hassan Omar Mzee aliyelazwa katika Kituo cha Afya Kibweni Wilaya ya Magharibi"A" Mkoa wa Mjini Magharibi (kushoto) L.Kamanda Mwashamba Mbarouk Salum .[Picha na Ikulu] 24/12/2021.

Post a Comment

0 Comments