Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA KITUO CHA REDIO CHA TBC TAIFA PUGU ROAD JIJINI DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu uendeshaji wa Vipindi mbalimbali vya Redio kutoka kwa Mkurugenzi wa Huduma za Redio TBC Redio Bi Aisha Dachi wakati alipotembelea Kituo cha Redio cha TBC Taifa kilichopo Barabara ya Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Desemba 2021. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dkt. Ayoub Rioba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu maendeleo ya uendeshaji wa Redio ya TBC Taifa kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji TBC Dkt. Ayoub Rioba wakati alipotembelea katika Kituo hicho kilichopo Barabara ya Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Desemba 2021. Kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za Redio TBC Redio Bi Aisha Dachi.

Post a Comment

0 Comments