Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kama ishara ya kuzindua Kiwanda cha kutengeneza Nyaya za Mawasiliano cha Raddy Fiber Manufacturing Tanzania Limited kilichopo Mkuranga mkoani Pwani leo tarehe 03 Desemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua kazi mbalimbali katika Kiwanda cha kutengeneza Nyaya za Mawasiliano cha Raddy Fiber Manufacturing Tanzania Limited kilichopo Mkuranga mkoani Pwani leo tarehe 03 Desemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasikiliza wataalamu mbalimbali wa Kiwanda hicho cha Nyaya za Mawasiliano katika sehemu ya maabara ya kupima uwezo wa nyaya hizo kabla ya kuziingiza sokoni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa eneo la Vikindu, Mkuranga mkoani Pwani leo tarehe 03 Desemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi (hawaonekani pichani) mara baada ya kuzindua Kiwanda cha kutengeneza Nyaya za Mawasiliano cha Raddy Fiber Manufacturing Tanzania Limited kilichopo Mkuranga mkoani Pwani leo tarehe 03 Desemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mbagala katika eneo la Zakhem wakati akielekea kuzindua Kiwanda cha kutengeneza Nyaya za Mawasiliano kilichopo Mkuranga mkoani Pwani leo tarehe 03 Desemba, 2021. PICHA NA IKULU
0 Comments