Ticker

6/recent/ticker-posts

WAFANYAKAZI WA COCA-COLA KWANZA MKOANI MBEYA WAPELEKA 'MAAJABU HALISI' MTAANI


Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo Coca-Cola Kwanza Tanzania, Josephine Msalilwa akiwa kwenye bajaji tayari kuwapelekea kampeni ya ‘MAAJABU HALISI NA COCA-COLA’ wakazi wa jijini Mbeya. Ukiachana na uzinduzi huo, Coca-Cola itakuwa na wateja kwenye safari ya matukio tofauti ya kusisimua katika msimu huu wote wa sikukuu mpaka mwisho wa mwaka katika mikoa tofauti kwa lengo la kutambulisha na kuanza kwa kampeni hiyo Tanzania kote.
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo Coca-Cola Kwanza Tanzania, Josephine Msalilwa (kushoto) na Meneja wa Masoko ya Biashara wa Coca-Cola Kwanza Tanzania, Wahda Mbaraka (kulia) wakifurahia baada ya kuwapelekea uzinduzi wa kampeni ya ‘MAAJABU HALISI NA COCA-COLA’ wafanyakazi wa kampuni ya Coca-Cola Kwanza jijini Mbeya. Ukiachana na uzinduzi huo, Coca-Cola itakuwa na wateja kwenye safari ya matukio tofauti ya kusisimua katika msimu huu wote wa sikukuu mpaka mwisho wa mwaka katika mikoa tofauti kwa lengo la kutambulisha na kuanza kwa kampeni hiyo Tanzania kote.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Coca-Cola Kwanza jijini Mbeya wakiwa wamepozi kwa furaha baada ya uzinduzi wa kampeni ya ‘MAAJABU HALISI NA COCA-COLA’. Ukiachana na uzinduzi huo, Coca-Cola itakuwa na wateja kwenye safari ya matukio tofauti ya kusisimua katika msimu huu wote wa sikukuu mpaka mwisho wa mwaka katika mikoa tofauti kwa lengo la kutambulisha na kuanza kwa kampeni hiyo Tanzania kote.

Baadhi ya msafara wa shamrashamra za kuashiria kuzinduliwa kwa kampeni ya ‘MAAJABU HALISI NA COCA-COLA’ ukiingia katika mitaa mbalimbali ya jiji la Mbeya. Ukiachana na uzinduzi huo, Coca-Cola itakuwa na wateja kwenye safari ya matukio tofauti ya kusisimua katika msimu huu wote wa sikukuu mpaka mwisho wa mwaka katika mikoa tofauti kwa lengo la kutambulisha na kuanza kwa kampeni hiyo Tanzania kote.

Post a Comment

0 Comments