Ticker

6/recent/ticker-posts

WAFANYAKAZI WA NYANZA BOTTLERS LTD WAFURAHIA UZINDUZI WA KAMPENI YA 'MAAJABU HALISI NA COCA-COLA'

Meneja Mwandamizi wa Chapa ya Coca-Cola Tanzania, Kabula Nshimo akizungumza na wafanyakazi wa kampuni Nyanza Bottling Ltd (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘Maajabu Halisi’ uliofanyika mkoani Mwanza mwishoni mwa wiki iliyopita. Uzinduzi kama huo pia unatarajiwa kufanyika katika mikoa mingine ambapo utaambatana na shughuli tofauti za kusisimua zitakazowahusisha wateja maeneo mbalimbali na kudumu mpaka kipindi cha msimu wa sikukuu na mwaka mpya.

Meneja Mwandamizi wa Chapa ya Coca-Cola Tanzania, Kabula Nshimo (kushoto) pamoja Meneja wa Mauzo na Masoko wa Nyanza Bottling Ltd, Samwel Makenge (kulia) wakizungumza na wafanyakazi wa kampuni Nyanza Bottling Ltd wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘Maajabu Halisi’ uliofanyika mkoani Mwanza. Uzinduzi kama huo pia unatarajiwa kufanyika katika mikoa mingine ambapo utaambatana na shughuli tofauti za kusisimua zitakazowahusisha wateja maeneo mbalimbali na kudumu mpaka kipindi cha msimu wa sikukuu na mwaka mpya.

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni Nyanza Bottling Ltd wakifurahia nyakati mbalimbali wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘Maajabu Halisi’ uliofanyika mkoani Mwanza mwishoni mwa wiki iliyopita. Uzinduzi kama huo pia unatarajiwa kufanyika katika mikoa mingine ambapo utaambatana na shughuli tofauti za kusisimua zitakazowahusisha wateja maeneo mbalimbali na kudumu mpaka kipindi cha msimu wa sikukuu na mwaka mpya.

Post a Comment

0 Comments