Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA SULUHU APOKEA AWAMU YA KWANZA YA TAARIFA YA MPANGO WA MAENDELEO YA UVIKO 19

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika hafla ya kupokea Taarifa ya Mpango wa awamu ya kwanza wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano Dhidi ya Uviko 19 Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Januari 2022.

PICHA NA IKULU

Post a Comment

0 Comments