RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mrajisi wa Mahkama Kuu Zanzibar Mhe.Mohamed Ali Shein, akitowa maelezo wakati wa kutembelea jengo hilo baada ya ufunguzi wake, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe,.Haroun Ali Suleiman na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Mhe.Rashid Hadidi Rashid.(Picha na Ikulu)
0 Comments