Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MHE.DKT.MWINYI AWASILI MKOANO DODOMA AKITOKEA VISIWANI ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma na kusalimiana na Wafanyakazi wa Ndege baada ya kuwasili Mkoni Dodoma leo 22-1-02022, akitokea Zanzibar kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria, inayotarajiwa kufanyika kesho 23-1-2022 Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma na kusalimiana na Viongozi wa Serikali, kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria. Inayotarajiwa kufanyika kesho 23-1-2022 Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Dodoma,baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma kuhudhuria Uzinduzi wa Wiki ya Sheria. Inayotarajiwa kufanyika kesho 23-1-2022 Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments