Ticker

6/recent/ticker-posts

CHAMA AIWEZESHA SIMBA SC KUONDOKA NA POINTI TATU DHIDI YA MBEYA KWANZA
******************

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

Klabu ya Simba Sc imezidi kutoa DOZI ligi Kuu NBC mara baada ya kufanikiwa kuichapa Mbeya Kwanza bao 1-0 kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Simba Sc ambayo inashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi Kuu, imepata bao kupitia kwa kiungo mshambuliaji Clautos Chama dakika za lala salama.

Mechi ilienda mapumziko timu zote zikiwa hazijapata kitu ingawa Simba Sc ilioneokana kutawala mchezo huo kuanzia mwanzo

Post a Comment

0 Comments