Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKIZUNGUMZA NA RAIS WA AFDB KWENYE MKUTANO WA 35 WA WAKUU WA NCHI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akizungumza na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinwumi Adesina katika ukumbi wa Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika unaofanyika Addis Ababa, Ethiopia leo tarehe 6 Februari 2022

Post a Comment

0 Comments