

Wawakilishi wa UNDP wakiwa katika ufunguzi wa mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uaandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP katika Ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi leo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi. [Picha na Ikulu] 04/02/2022. 

Watendaji na Maafisa mbali mbali katika Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika ufunguzi wa mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uaandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP katika Ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi leo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi. [Picha na Ikulu] 04/02/2022. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Viongozi mara baada ya Kufungua Mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uaandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP katika Ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi leo.[Picha na Ikulu] 04/02/2022. 

Wawakilishi wa Taasisi ya Tony Blair wakiwa katika ufunguzi wa mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uaandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP katika Ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi leo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi. [Picha na Ikulu] 04/02/2022. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Viongozi mara baada ya Kuwasili katika Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi leo kufungua Mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uaandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP .[Picha na Ikulu] 04/02/2022.

Watendaji katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika ufunguzi wa mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uaandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP katika Ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi leo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi. [Picha na Ikulu] 04/02/2022.
0 Comments