VICK Kamata akiimba wimbo maalum wa Uzinduzi wa Taasisi ya Mama Mariam Mwinyi, Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) na Wimbo wa Wanawake na Maendeleo, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja.(kushoto kwake) Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Mama Mariam Mwinyi akiwa na Mama Salma Kikwete wakijumuika na Wananchi katika uzinduzi huo uliofanyika jana 19-2-2022.(Picha na Ikulu)
0 Comments