Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TEF ZANZIBAR.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Uzinduzi wa Jukwaa la Wahariri Zanzibar (TEF) Bw. Haji Suweid Ramadhan baada ya kumalizika kwa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa (TEF) uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 9-3-2022.(Picha na Ikulu) BAADHI ya Wadhamini wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) wakfuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk,.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 9-3-2022.(Picha na Ikulu)

WAHARIRI wa Vyombo vya Habari na Wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 9-3-2022.(Picha na Ikulu)

WENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Bw. Deodatus Balile akizungumza kuhusiana na Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar, kabla ya kufunguliwa na mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments