RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wahariri wa vyombo mbalimbali na Waandishi, ikiwa ni kawaida yake kuzungumza na Wahariri na Waandishi wa habari kila mwisho wa mwezi, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatiliwa mswali yanayoulizwa na Waandishi wa habari wa vyomba mbalimbali wakati wa mkutano wake na Wahariri na Waandhishi wa habari wa vyombo mbalimbali hufanyika kila mwisho wa mwezi uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-3-2022.(Picha na Ikulu) MWANDISHI wa habari kutoka Gazeti la Uhuru akiuliza swali wakati wa mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAHARIRI na Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari Magazeti na Tv, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza ikiwa ni mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Wahariri na Waandishi , mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-3-2022.(Picha na Ikulu)
0 Comments