Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MHE.DKT.HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA NCHINI TANZANIA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimzikiliza Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Mhe.Manfredo Fanti, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Mhe Manfredo Fanti (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments