Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AKABIDHI BOTI NA MASHINE ZA BOTI KWA WAVUVI WA PEMBA.

BOTI Nne na Mashine zake zilizokabidhiwa kwa Wananchi wa Makangale Boti 2 na Kengeja Boti 2,kwa ajili ya Uvuvi na Mashine za Boti 16 zilizotolewa kwa Vikundi vya Uvuvi Kisiwani Pemba,wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Kijiji cha Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni Pemba leo 12-4-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Boti na Mashine na Vifaa vya Uvuvi Kiongozi wa Kikundi cha Uvuvi cha Kengeja Bw.Ali Baroo, wakati wa kukabidhi Boti Nne na Mashine za Boti 16 kwa Vikundi vya Uvuvi Pemba , hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Bandari ya Shumba Mjini Wilaya ya Michewene Pemba leo 12-4-2022.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya kukabidhi Boti Nne na Vifaa vya Uvuvi kwa Wavuvi wa Kengeja na Makangale Pembe na Mashine za Boti 16 kwa Wavuvi wa Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya bandari ya Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni Pemba leo 12-4-2022.(Picha na Ikulu)

WANANCHI wa Kijiji cha Shumba Mjini wakishangilia na kupeperusha bendera za ZAFICO wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Boti Nne na Mashine za Boti 16 kwa Wavuvi wa Kisiwa cha Pemba hafla iliyofanyika katika viwanja vya bandari ya Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni Pemba.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments