Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA MAJADILIANO VIONGOZI WA CCM NA CHADEMA IKULU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja na Viongozi Wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 20 Mei, 2022.
Post a Comment

0 Comments