Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA SULUHU AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MADOLA PATRICIA SCOTLAND, IKULU TUNGUU ZANZIBAR


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth) Mhe. Patricia Scotland mara baada ya kuwasili Ikulu Tunguu, Zanzibar kwa ajili ya Mazungumzo tarehe 05 Mei, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth) Mhe. Patricia Scotland mara baada ya kuwasili Ikulu Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Mei, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Azimio la Jumuiya ya Madola (Charter of the Commonwealth) kutoka kwa Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Mhe. Patricia Scotland mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Mei, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe. Patricia Scotland mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Mei, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe. Patricia Scotland aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Mei, 2022.

Post a Comment

0 Comments