Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA SULUHU AZUNGUMZA NA WANAHABARI KATIKA ZIARA YAKE YA KISERIKALI IKULU YA ENTEBBE NCHINI UGANDA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari katika Ikulu ya Entebbe wakati wa ziara yake ya Kiserikali nchini Uganda tarehe 10 Mei, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo wakati akizungumza na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Museveni katika Ikulu ya Entebbe tarehe 10 Mei, 2022.

Post a Comment

0 Comments