Ticker

6/recent/ticker-posts

SPIKA DKT. TULIA AKAGUA MABANDA MBALIMBALI KATIKA MONYESHO YA MAJUKUMU YA WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Ndg. Maharage Chande wakati akikagua Mabanda Mbalimbali katika Monyesho ya Majukumu ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma leo Mei 23, 2022, Katikati ni Maafisa kutoka Shirika la Umeme Tanzania.


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akikagua Mabanda Mbalimbali wakati wa Monyesho ya Majukumu ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma leo Mei 23, 2022


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika picha ya pamoja na Watumishi kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) baada ya kukagua Mabanda Mbalimbali wakati wa Monyesho ya Majukumu ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma leo Mei 23, 2022, Kulia kwake ni Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba na kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Ndg. Maharage Chande

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Post a Comment

0 Comments