Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA SULUHU AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA NCHINI OMAN BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA KISERIKALI.


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akitokea Nchini Oman baada ya kumaliza ziara yake ya Siku Tatu Nchini humo, (kulia kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akitokea Nchini Oman baada ya kumaliza ziara yake ya Siku Tatu Nchini humo.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akitokea Nchini Oman baada ya kumaliza ziara yake ya Siku Tatu Nchini humo..(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments