Ticker

6/recent/ticker-posts

MKURUGENZI MKUU WA TCRA AHIMIZA WANANCHI KUTEMBELEA BANDA LA TCRA MAONESHO YA SABASABA


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari akisaini kitabu cha wageni katika banda la Mamlaka hiyo muda mfupi baada ya kuwasili kwenye Viwanja vya Maonesho ya Biashara-SabaSaba barabara ya Kilwa, Temeke jijini Dar es salaam. TCRA inashiriki Maonesho hayo kwa kutoa elimu kwa watumiaji huduma za Mawasiliano. Picha: TCRAMkurugenzi Mkuu wa TCRA Dk.Jabiri Bakari akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Ufunguzi wa Maonesho ya 46 ya Maonesho ya Biashara Kimataifa Sabasaba , Jijini Dar es Salaam.Wananchi wakiingia na kutoka kwenye banda la TCRA katika Maonesho ya Viwanda na Biashara katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam kupata elimu,huduma na msaada wa huduma za Mawasiliano. Picha: TCRAMtambo wa kukagua Masafa ya Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania. Mtambo huu upo katika banda la maonesho ya biashara-SabaSaba barabara ya Kilwa. TCRA wanakukaribisha ujifunze namna mtambo huo unavyofanya kazi. Picha: TCRA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Dkt Jabiri Bakari akikagua banda la Mamlaka kwenye viwanja vya maonesho ya biashara SabaSaba jijini Dar es salaamMkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Dkt Jabiri Bakari (wa sita kushoto) katika picha ya pamoja na watumishi wa Mamlaka wanaotoa huduma za Mawasiliano kwenye viwanja vya maonesho ya 46 ya biashara SabaSaba jijini Dar es salaam.

Post a Comment

0 Comments