Ticker

6/recent/ticker-posts

MASHINDANO MAKUBWA YA KUSOMA NA KUHIFADHI QURAN TUKUFU YAFUNGULIWA MSIKITI MKUU WAN BAKWATA KINONDONI MUSLIM DAR ES SALAAM

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndg Abdulrahman Kinana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Alhaj Dkt. Abubakar Zubeir bi Ali wakiongea na Katibu Mkuu wa Taasisi ya Mohamed VI Foundation Dkt. Sidi Mohamed Rifki mara baada ya ufunguzi wa Mashindano makubwa ya kusoma na kuhifadhi Quran Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Mfalme Mohamed VI (Mohamed VI Foundation) katika Masikiti Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam leo Ijumaa Agosti 12, 2022.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndg Abdulrahman Kinana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Alhaj Dkt. Abubakar Zubeir bi Ali, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro (kushoto) na viongozi wengine katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Taasisi ya Mohamed VI Foundation Dkt. Sidi Mohamed Rifki mara baada ya ufunguzi wa Mashindano makubwa ya kusoma na kuhifadhi Quran Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Mfalme Mohamed VI (Mohamed VI Foundation) katika Masikiti Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam leo Ijumaa Agosti 12, 2022.


Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi akiwa katika picha ya kumbukumbu na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Alhaj Dkt. Abubakar Zubeir bi Ali, Katibu Mkuu wa Taasisi ya Mohamed VI Foundation Dkt. Sidi Mohamed Rifki (wa tatu toka kulia) pamoja na viongozi wengine mara baada ya ufunguzi wa Mashindano makubwa ya kusoma na kuhifadhi Quran Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Mfalme Mohamed VI (Mohamed VI Foundation) katika Masikiti Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam leo Ijumaa Agosti 12, 2022.


Picha na Issa Michuzi

Post a Comment

0 Comments