Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AJUMUIKA KATIKA SALA YA IJUMAA MASJID NA KUMTEMBELEA MZEE KHAMIS ABDULLA AMEIR.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar .Mhe.Haroub Ali Suleiman, Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al-sinawi, alipowasili katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 12-8-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mzee Khamisi Abdulla Ameir aliyekuwa Mjumbe wa Baraza la Kwanza la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, alipofika nyumbani kwake Maisara kumtembelea na kumjulia hali yake.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kitabu kinachoelezea Historia ya Maisha yake Mzee Khamis Abdulla Ameir, aliyewahi kuwa Mjumbe wa Baraza la Kwanza la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, baada ya kumaliza mazungumzo alipofika nyumbani kwake Maisara Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya kumjulia hali yake leo 12-8-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mzee Khamis Abdulla Ameir, aliyewahi kuwa Mjumbe wa Baraza la Kwanza la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika nyumbani kwake Maisra Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kumtembelea na kumjulia hali yake leo 12-8-2022.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma Kitabu kilichoandikwa na Mzee Khamis Abdulla Ameir, kinachozungumzia historia yake, baada ya kukabidhiwa wakati wa mazungumzo yao alipofika nyumbani kwake Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kumtembelea na kumjulia hali yale leo 12-8-2022.(*Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments