Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA ETHIOPIA NCHINI TANZANIA MHE.SHIBRU MAMO KEDIDA


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Kidemokrasia Jamhuri ya Ethiopia Nchini Tanzania Mhe. Shibru Mamo Kedida, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 10-8-2022.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Shirikisho la Kidemokrasia Jamhuri ya Ethiopia Nchini Tanzania Mhe. Shibru Mamo Kedida, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022 kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Kidemokrasia Jamhuri ya Ethiopia Nchini Tanzania Mhe. Shibru Mamo Kideda, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments