Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI ASHUHUDIA UTIAJI WA SAINI YA MAKABIDHIANO YA "DATA" ZA UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI ASILIA KWA VITALU VYA ZANZIBAR


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Utiaji wa Saini ya Makabidhiano ya “DATA” za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa Saini ya Makabidhiano ya “DATA” za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar , wakisaini ya makabidhiano hayo (kulia kwa Rais) Waziri wa Nishati wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Januari Yussuf Makamba na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe Suleiman Masoud Makame, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments