Ticker

6/recent/ticker-posts

MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM RAIS MWINYI AHUDHURIA KIKAO CHA KAMATI MAALUMU YA CCM ZANZIBAR

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja leo kuongoza Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar na (kulia kwake) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Sadala Mabodi.(Picha na Ikulu)

WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja wakati Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein kuwasili katika ukumbi kwa ajili ya kuongoza Kikao hicho kilichofanyika leo 4-9-2022.(Picha na Ikulu)

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakiwa katika tabasamu kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja leo 4-9-2022.(Picha na Ikulu) NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. Abdalla Sadala Mabodi akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar,kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja leo 4-9-2022.(Picha na Ikulu) WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akiongoza Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja leo 4-9-2022.(Picha na Ikulu)

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiongoza Kikao cha Kamati Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo 4-9-2022 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja na (kulia ) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments