Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA VYOMBO VA HABARI NCHINI.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Wananchi kupitia Wahariri na Waandishi wa Habari na vya vyombo vya Serikali na Binafsi leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar ikiwa ni hatua yake ya kila kipindi kuzungumzia masuala mbali mbali .[Picha na Ikulu] 05/09/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na Wananchi kupitia Waandishi wa Habari na Wahariri vya vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi ikiwemo Magazeti,Tv na Redio na mitandao ya kijamii leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kuhusu masuala mbali mbali ya kuleta maendeleo kwa Taifa letu.[Picha na Ikulu] 05/09/2022.

Waandishi wa Habari na Wahariri vya vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipozungumza nao leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kuhusu masuala mbali mbali ya kuleta maendeleo kwa Taifa letu.[Picha na Ikulu] 05/09/2022.


Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Zanzibar leo Nd,Ali Haji Mwadini (kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Nd,Hassan Khatib Hassan wakiwa katika mazungumzo ya Wahariri na Waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi chini ya mwenyekiti Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 05/09/2022.

Baadhi ya Waandishi wa Habari na Wahariri vya vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) leo alipokuwa akizungumza nao katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 05/09/2022.

Post a Comment

0 Comments