Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MWINYI ASHIRIKI SALA KATIKA MASJID LOOTHA KIEMBESAMAKI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini katika Masjid Lootha Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 09/09/2022.[Picha na Ikulu]

Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipozungumza na waumini hao katika Masjid Lootha Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo katika Masjid hiyo.[Picha na Ikulu]09/09/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa pili kushoto) pamoja na Waumini wa Kiislam katika Masjid Lootha Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo.[Picha na Ikulu] 09/09/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Waumini wa Kiislam katika wakiitikia dua iliyosomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,(wa tatu kushoto) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo katika Masjid Lootha Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja.[Picha na Ikulu] 09/09/2022.

Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipozungumza na waumini hao katika Masjid Lootha Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo katika Masjid hiyo.[Picha na Ikulu]09/09/2022.

Post a Comment

0 Comments