Ticker

6/recent/ticker-posts

TANZIA: MALKIA WA UINGEREZA, ELIZABETH II AFARIKI DUNIA

Amefariki akiwa na miaka 96 huku akiwa ni Kiongozi wa Kifalme aliyetawala kwa muda mrefu (miaka 70) katika historia ya Taifa hilo.
Mwanamfalme Charles anarithi mikoba ya utawala

Post a Comment

0 Comments